Wafahamu waliopoteza na walionufaika katika baraza jipya la Uhuru Kenyatta
- Rais Uhuru Kenyatta amelitaja baraza lake la mawwaziri baada ya kimya kirefu
- Rais alilazimika kuwatema baadhi ya mawaziri ili aweze kupata nafasi za kuwapa baadhi za waanasiasa marafiki
Rais Uhuru Kenyatta alikamilisha orodha yake ya mawaziri siku ya Ijumaa, Januari 26 baada ya miezi kadha ya kimya.
Habari Nyingine: Dada wawili mapacha wafanya harusi ya kifahari Lagos (picha)
Baadhi ya mawaziri walitemwa huku wengine wakiweza kunufaika kwa kusalia kuwa katika baraza hilo.
Baadhi ya walionufaika ni pamoja na;
1. Eugene Wamalwa -Waziri wa Ugatuzi
2. Faridah Karoney -Waziri Ardhi
3. Ababu Namwamba - Mratibu mkuu katika wizara ya mambo ya kigeni
4. Raphael Tuju
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
5. Monica Juma - Waziri wa mambo mambo ya kigeni
6. Rachael Shebesh
7. Nelson Marwa - Katibu mkuu katika wizara ya Ugatuzi
Habari Nyingine: Mwanamke aliyedaiwa kwa kulala na Raila Odinga aeleza bayana kilichtokea
8. Gideon Mung'aro
9. Peter Munya - Waziri katika jumuiya ya Afrika Mashariki
10. Kiema Kilonzo - Balozi wa Uganda
11. Simon Kachapin - Mratibu mkuu katika wizara ya Elimu
Waliopoteza
1. Judi Wakhungu - Balozi Ufaransa
2. Cleopa Mailu - Balozi wa Umoja wa Mataifa, Geneva Uswizi
3. Dan Kazungu - Balozi wa Kenya Tanzania
4.Phylis Kandie - Balozi Ubelgiji
Habari Nyingine: Sosholaiti Vera Sidika amtambulisha mpenziwe mpya kwa umma, pata kumfahamu
5. Willy Bett - Balozi India
6. Hassan Wario - Balozi Austria
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4FzhZNmrpqekZ2ursGMsJiloZ%2BlvLWx2Zpkp5ldrK6ttc6nrJ%2BZmaCubrfAraCkmV2XrrOt2Zpko6Ggrq5uuMBmrKGtoqp6rLHNspitrJFjtbW5yw%3D%3D